karibu text

KARIBU computerdevicedr

MAUJANJA BLOG

Uwanja wako pekee wa kupata maujanja mbali mbali kuhusu computer/device yako katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kwenye matumizi ya computer/device yako. tuachie Maoni kwa jambo linalokutatiza Usaidike



Thursday 17 May 2018

FAHAMU TEAMVIEWER NA VIPI INAWEZA KUOKOA SIKU YAKO

Wadau leo tutapata maujanja ya software moja ambayo inaweza kuokoa sana siku yako.


TeamViewer

Hii ni software ambayo inaweza kurahisisha sana maisha haswa kwa watu wa technical kwa kuwa software hii inaweza kufanya kitu kinaitwa (remote access) yaani uwezo wa ku control computer moja kwa kutumia computer nyingine ukiwa mbali nayo. (mfano kama uko na computer dar es salaam na wewe uko ata kama UK unachofanya una install software kwenye computer yako na kwenye computer upande wa pili pia software iwe installed.
pia software hii inafanya kazi kwenye vifaa vingine kama tablets na smart phones ivyo una uwezo wa ku access computer iliyo mbali ata kwa kutumia smartphone ana tablet yako. 

kwa watu wa technical mnaweza kusaidiana kitu kama mtu amekwama na wewe ndio expert ya kitu hicho, nyote mta fungua team viewer na utaweza ku access desktop ya Rafiki yako na kum assist safi kabisa kama vile uko eneo hilo
(mnaweza ku chatt kwa msg ama video na Rafiki unae mu assist live)

kwa watu wa kawaida unaweza kuwa  umesahau files zako muhimu kwenye computer yako na umesafili  bila computer na utaitaji izo file utaweza kuzipata, team viewer ndio njia pekee rahisi kwani ukitumia software hii kama kawaida utaweza ku access desktop yako ikiwa ni pamoja na kuperuzi computer yako kwa  kokote utakako na ku copy file lako muhimu ki lainiiii ata kwa kutumia tu tab au smartphone yako
(hakuna tena presha ya kuwa umesahau file muhimu maujanja ni team viewer)


cha kuzingatia wakati wa installation uchague option ya personal ili kutumua free  

cheki apa kupakua software hiyo
kwa kifaa smart device yako ingia kwa store yako na pakua bure kabisa

1 comment:

  1. Computerdevicedr Maujanja: Fahamu Teamviewer Na Vipi Inaweza Kuokoa Siku Yako >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Computerdevicedr Maujanja: Fahamu Teamviewer Na Vipi Inaweza Kuokoa Siku Yako >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Computerdevicedr Maujanja: Fahamu Teamviewer Na Vipi Inaweza Kuokoa Siku Yako >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK 05

    ReplyDelete