karibu text

KARIBU computerdevicedr

MAUJANJA BLOG

Uwanja wako pekee wa kupata maujanja mbali mbali kuhusu computer/device yako katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kwenye matumizi ya computer/device yako. tuachie Maoni kwa jambo linalokutatiza Usaidike



Tuesday 1 May 2018

JINSI YA KUANGALIA STREAMING LINKS BILA KU KWAMA KWAMA

Kumekuwa na watu wengi wakitafuta njia bora ni jinsi gani wanaweza kuangalia streaming contents online bila ku kwama kwama na wasifahamu nini hasa kinaweza kuwa tatizo.
Hapa utapata maujanja ni vipi unaweza ku enjoy streaming contents bila wasi ukiwa ume relax.

vitu vya kuzingatia. 

1. kuwa na internet connection enye speed nzuri (4g) ama angalau kuandia speed 7mbps na kuendelea.
2. wakati mwingine streaming contents haziendi vizuri kwa kuwa zinakuwa zimezuiwa kuoneka kwenye maeneo Fulani (hivyo apa utaitaji uwe na VPN)
3. Zipo program zinazo fanya mambo yawe vizuri zaidi pia kama vile KODI na nyinginezo. kwa kuwa link ikitoka kwa program maalum ya kufanya steaming inakua na quality nzuri sana.
hapa tutagusia walau kwa uchache kuangalia straming link kwa KODI
KODI ni program maarufu sana kwa maswala ya streaming, program hii utaweza kuangalia movies,Live TV,sports na zaidi.... na inafanya kazi kwenye karibu kila device kuanzia computer ya windows/mac/adroid/ na platform nyingine kibao.
program hii haikutengenezwa haswa kwa ajili ya kuangalia steaming content ambazo kwa kawaida ni unabidi kulipia, ila kuna baadhi ya watu wa maujanja wameweza ku link na content kama izo na kuifanya KODI kuwa maarufu zaidi kwa wapenda steaming. kwani unaweza kuona series movies kutoka huru Netflix na source nyingine kibao ambozo kikawaida ingebidi kulipia. Ziko channel pia nyingi unazipata toka kwa link mbali mbali zinazounganishwa na KODI kama vile za michezo mbalimbali ata mirira ya ligi nyingi maarufu duniani vyote vinaonekani bila shida kwa KODI

Je? ni jinsi gani utaenjoy yote hayo.
1. download na install KOdi kwenye kifaa chako
2. baada ya apo unaitaji kufanya setting za kukalibisha link nyingine mfano: tembelea hapa upate steps namna ya kukalibisha link za nje kwa kodi uanze ku enjoy. hii ni moja tu ya watu walioandaa links hizi kwa KODI watu kama hawa wako wengi 
mpaka hapo unaweza ku enjoy movies/livetv/seriese.... safiiiii😎😎😎
kama una swali acha comment 

No comments:

Post a Comment