umeshawahi kukosea kutuma pesa na bado ukawa UNATABASAMU?
(HAYO SASA YANAWEZEKANA KUTOKA TIGO KUPITIA TIGO JIHUDUMIE)
Kampuni ya simu ya Tigo
imeanzisha huduma inayoitwa JIHUDUMIE ambayo itamsaidia mteja aliyetuma muamala
wa fedha kimakosa kuweza kurejesha fedha zake kwa njia rahisi na haraka zaidi.
Mteja akikosea kutuma pesa hahitaji msaada wa moja kwa moja kutoka kitengo cha huduma kwa wateja bali atapiga menyu ya Tigo pesa (*150*01#) kisha atachagua huduma ya Jihudumie na kufuata maelekezo yatakayojitokeza kuwezesha kurudisha muamala wake.
Kwa sasa Mteja ataweza kurejesha miamala ya tigo kwenda tigo.
kama una mawsali zaidi juu ya Huduma hii mpya toka tigo acha comments zako apo chini
Kwa sasa Mteja ataweza kurejesha miamala ya tigo kwenda tigo.
kama una mawsali zaidi juu ya Huduma hii mpya toka tigo acha comments zako apo chini
Line yangu nimeifungia naomba umifungulie
ReplyDelete