WhatsApp imetangaza ivi karibuni itaongeza huduma ya stickers ambayo tayari ipo kwenye chatt apps nyingine kama vile bbm
huduma imeshaanza kuwafikia baadhi ya watumiaji wa ios na kwa kwatumiaji wa adroid bado ni beta version lakini ivi karibuni mambo yatakua mswano.
Sticker packs inakuja na stickers kama (smiling teacup, crying broken heart) na zaidi, zilizoundwa na madesigner toka WhatsApp na ma artists wengine pia.
Ukisha updated WhatsApp, utaona stickers icon baada tu ya emoji and GIF icons kwenye emoji menu. utapata tabs tau kama kawaida —moja ni ya recent stickers, ya pili ni ya favourites na ya tatu inabeba stickers zote. pia kuna “plus” icon kwenye kona ambayo itakuruhusu wewe ku add stickers Zaidi kwenye WhatsApp kupitia sticker store.
kama hujazipenda stickers zilizokuja moja kwa moja na WhatsApp, unaweza tengeneza wewe mwenyewe. WhatsApp wametoa maelekezo namna gani utafanya —unaweza kusoma hapa lakini hili litaitaji ujuzi kidogo wa Adobe Photoshop na basic image editing. stickers zinaitaji kuwa na resolution ya 512x512 pixels na zinatakiwa kuwa na file size ya chini ya 100kb.
No comments:
Post a Comment