karibu text

KARIBU computerdevicedr

MAUJANJA BLOG

Uwanja wako pekee wa kupata maujanja mbali mbali kuhusu computer/device yako katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kwenye matumizi ya computer/device yako. tuachie Maoni kwa jambo linalokutatiza Usaidike



Friday 26 October 2018

UNLOCK LAPTOP YAKO KUTUMIA FINGERPRINT YA SIMU - ANDROID




leo kwa haraka haraka tutapata maujanja apa, kuna wakati mtu unaweza ukawa kwenye public ha hupendi password yako ya laptop ionekane na wanazengo wengine.
sasa dawa ipo kwani unaweza ku fanya setting na kuwa unatoa lock ya laptop yako kutumia fingerprint ya simu yako.
Najua bado unajiuliza ni vipi mambo haya yanawezekana; maujanja kama haya utayapata apa computerdevicedr pekee.
Bila kupoteza muda vifuatavyo vitatakiwa kufanikisha
1. software kwa ajili ya computer _ link
2. software kwa ajili ya adroid yako _ link

software hii ina inafanya kazi kwenye mazingira yafuatayo;
  • x86 or x64
  • Windows Vista, Windows 7, Windows 8, or Windows 10 PCs
  • Android 6.0+

Software ni bure lakini ina option nyingine za kulipia ukipenda kama ifutavyo;

huduma za bure
  • Support for remotely unlocking both local and online Microsoft accounts via fingerprint    scanner
  • Utaseup PC 1 TU account 1 kufanya remote unlocking
  • Wi-Fi Tethering support
Huduma za kulipia (malipo $1.99)
  • No advertisements
  • kuongeza  computer Zaidi ya moja
  • kuongeza  account zaidi kwa pc 
  • ina support  kuamka -kenye-LAN
Namna gani ya ku setup
  • Download na install Remote Fingerprint Unlock from the Google Play Store.
  • Download na install the right Windows Fingerprint Credential Module kwa ajili ya Windows PC.
  • fungua   Android app nenda kwa  Scan section.
  • Anza Scan operation na acha app itafute PC yako.
  • bonya  kwenye   PC unayotaka ku set. unaweza kuchagua kuipa jina au tuma command ya Wake-on-LAN packet kama una huduma ya kulipia.
  • After adding the PC, go to the Accounts section.
  • bonya on “Add Account.” weka username and password ya account unayotaka kufanya remotely unlock.
  • baada ya ku add account , bonya kwenye jina la account iwe  (Selected) message saying something like “no default account has been selecte
  • sasa ,jaribu ku unlock pc yako .na utaona user mpya anaitwa “Fingerprint Unlock.” (bonya kama itasema If it says the module is active, apo uko vizuri
  • fungua  Remote Fingerprint Unlock na nenda kwenye unlock sectioction
  • Scan  fingerprint.
  • kama uliset vyema , utaona windows ina funguka safi, enjoy technology bwana kama uchawi vile ….

1 comment:

  1. Computerdevicedr Maujanja: Unlock Laptop Yako Kutumia Fingerprint Ya Simu - Android >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Computerdevicedr Maujanja: Unlock Laptop Yako Kutumia Fingerprint Ya Simu - Android >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Computerdevicedr Maujanja: Unlock Laptop Yako Kutumia Fingerprint Ya Simu - Android >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK FW

    ReplyDelete