karibu text

KARIBU computerdevicedr

MAUJANJA BLOG

Uwanja wako pekee wa kupata maujanja mbali mbali kuhusu computer/device yako katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kwenye matumizi ya computer/device yako. tuachie Maoni kwa jambo linalokutatiza Usaidike



Monday 30 April 2018

namna ya ku install google playstore kwenye simu za kichina


simu nyingi zinazotoka korea (maarufu kwa jina la sim za ki china) hizi ni simu zinazotumia adroid lakini huwa hazina playstore.

watu wengi wamekua wakiangaika ni namna gani wataweza kuweka playstore kwenye sim izo ili kuweza kufaidi apps nyingi na nzuri kutoka apo.
ziko baadhi ya apps ukiistall kutoka sehem nyingine tofauti na playstore bado haziwezi kufanya kazi mpaka uwe na playstore. 

Leo nataka nikupe njia rahisi kabisa unayoweza ku install playstore kwenye simu yako na ku enjoy apps zote bila wasi. njia hii inaweza kufanya kazi kwenye simu mbalimbali ambazo zimejaribiwa zikiwemo:-
Meizu M2, Meizu M2 Note, Xiaomi Mi4C, Xiaomi Redmi 3, Xiaomi Redmi Note 3, Xiaomi Redmi Note 3 Pro, LeTV 1s X500 na simu nyingine kama hizo.
Njia hii ni rahisi na wala haiitaji simy yako kuwa rooted (tutakuja kujadili kwenye mada nyingine nini maana ya ku root kifaa chako cha adroid).
HATUA ZA KUFANYA 
kwanza kabisa download installer tota kwenye link hizi apo chini 
Download links: http://www.mediafire.com/?pka2i87kignp99j
https://www.4shared.com/zip/UGNOxLafca/MIUI_Google_Installer_V20.html
  1. baada ya kumaliza ku download  copy file kwenye  simu yako ya adroid ya kichina.
  2. kisha nenda  Settings > Advance Settings > Security > alafu chagua Enable Download from Unknown Sources.
  3. kisha toka kwenye file ulilo download anzisha  installation.
  4. ilimaliza bonya  Google Installer.
  5.  kisha tena utabonya kwenye duara kubwa la njano. na kisha bonya install kuanza  installation ya  Google play service framework.
6. sasa apa wakati wa prosses utaulizwa ku install  the Google Play Store. bonya Install kisha  OK kwa kuhakiki (utaendelea kukubaliana na kila app inayotaka ku install mpaka hatua ya mwisho) kama inayoonekana kwa picha. 
7.baada ya hapo bonya kitufe chekundu cha duara chini kabisa kwa kukubaliana na the terms and conditions. MPAKA hapo utakuwa umemaliza zoezi, kama ua shali lolote tuachie comment apo chini




No comments:

Post a Comment