karibu text

KARIBU computerdevicedr

MAUJANJA BLOG

Uwanja wako pekee wa kupata maujanja mbali mbali kuhusu computer/device yako katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kwenye matumizi ya computer/device yako. tuachie Maoni kwa jambo linalokutatiza Usaidike



Monday 30 April 2018

kuondoa .yea virus kwenye pc

kwa walio wengi nadhani mtakua mmeshakutana na virus wa aina hii, ambao dalili yao kubwa ya kwanzan ni kukubadilishia page yako ya kwanza kwenye internet (homepage).

virus hawa huwa wanasumbua sana na wanachosha kichwa kwa kuwa kila mara unapoingia kwenye internet paga ya kwanza huwa ni kutoka kwao na wakati mwingine huja na page nyingine za maudhi ambazo wewe haujazifungua kabisa. (inakera sana).
Virus kama hawa unaweza kuwaondoa kirahisi sana kwenye computer yako kwa kutumia software ndogo na ambazo uta weza pakua bure bila malipo yoyote. (kwa kua zinakuja kama majaribio lakini hakika zinafanya kazi haswa.
unachotakiwa kufanya ni kupakua software hizi ndogo na ku install kwenye computer yako kisha baada yapo uta zi run kwenye computer na kukuondolea virus kama hawa kirahisi sana. mwishini software izi huwa zina shauri ku restart computer yako fanya ivyo na utakuwa umewaondosha kabisa. 
pakua hizo tools apo chini na uzi anzishe kwa mtiririko huo kunzia ya kwanza na ya pili unamaliza nayo.

1. AdwCleaner

7 comments:

  1. How can I install a free flasher software in to my PC??

    ReplyDelete
  2. flasher ukimaanisha nn Mkuu sijakusoma fafanua vizuri

    ReplyDelete
  3. au unamaanisha software za ku flash simu ? nyoosha maelezo upat ufumbuzi chap

    ReplyDelete
  4. disabled iphone tayari tumechapisha solution yake. karibu sana

    ReplyDelete
  5. Nashindwa kupokea SMS ya muamala kwenye lain Yng ya Wakala nifanyeje??

    ReplyDelete
  6. Mkuu kama ni message za uwakala tu jaribu kuangalia kwenye simu yako upande wa screened messages.
    vinginevyo itakuwa ni ishu ya mtandao husika.

    ReplyDelete